Jonasic blogspot.
Tuesday, March 19, 2013
Friday, March 15, 2013
Wednesday, March 13, 2013
PAPA FROM ARGENTINA
REVEALED!!...
Papa Francis I akiwapungia waumini baada ya kutoka katika balcony ya St. Peter Square |
Habemus papam...
Ndivyo wanavyosema walatini wakimaanisha...tunae Papa.
Kardinali Jorge Mario Bergoglio aliekuwa askofu mkuu wa Beunos Aires, Argentina ameteuliwa kuwa Papa mpya na atakuwa akiitwa Papa Francis I katika wadhifa huo. Kardinali Bergoglio ameteuliwa akiwa na miaka 76 na pia atakuwa askofu wa Vatican. Ametoka katika shirika la Jesuit fathers na alizaliwa Italia, baadae akahamia Argentina hivyo inaelezwa kuwa na asili ya Italia. Anakuwa ni Papa wa kwanza kuteuliwa kutoka bara la Amerika na wa 266 tangu kuanzishwa kanisa katoliki.
Mara baada ya kutangazwa, aliongoza maelfu ya waumini waliojitokeza viwanja vya St. Peter's Square katika sala kumwombea papa mng'atuka Benedict XVI na kuomba waumini wamuombee katika utendaji wake.Ikumbukwe, Papa huyu alipendekezwa pia katika uteuzi wa Papa Benedict XVI ambapo inahisiwa alishika nafasi ya pilii na uteuzi wake safari hii ni baada ya kura za makardinali kutoka duniani kote ambao walikuwa na umri usiozidi miaka 80. Jumla ya makardinali 115 walipiga kura, 60 kutoka bara la Ulaya, 11 Afrika na 33 Amerika. Walikula viapo maalum na kufungiwa katika kanisa dogo ambapo hakukuwa na mawasiliano yeyote kutoka nje. Kanisa katoliki lina waumini takribani billioni 1.2 duniani, huku Brazil na Mexico zikitajwa kuwa nchi zenye waumini wengi zaidi. Bara la latin(kusini) Amerika linakadiliwa kuwa na 40% ya waumini duniani kote.
PAPA FROM ARGENTINA ATEULIWA

Breaking News
UCHAGUZI WA PAPA |
www.mwananchi.co.tz
Busara inahitajika kumaliza mzozo wa Bunge, Chadema
Rais Kagame ampa uwaziri Mtanzania
Posted
27/2/2013
RAIS Paul Kagame wa Rwanda amemteua Mtanzania, Profesa Silas Rwakabamba kuwa Waziri wa Miundombinu wa nchi hiyo.
Subscribe to:
Posts (Atom)